SoMo:Nguvu za Roho Mtakatifu

  Leo tujifunze jinsi ambavyo nguvu za Roho wa Mungu Roho Mtakatifu ambavyo nguvu zake Zina fanya kazi ndani yetu. 

Tukisoma katika kitabu cha

1 Mambo ya Nyakati 16:11

[11]Mtakeni BWANA na nguvu zake; 

Utafuteni uso wake siku zote.

Biblia inaweka msisitizo juu ya kumuhitaji Mungu na nguvu zake, na site tuna jua kuwa unapo okoka kwa mara ya kwanza Roho Mtakatifu anaingia ndani yako,lakini swala la kuookea nguvu nihatua nyingine ambayo tuna pewa Kama tunahitaji kwamaana nyingi Kama huoni umuhimu wakua na ngu u za Roho Mtakatifu haulazimishwi japoa uana shauri wa uwenazo kwa maana Zina faida zake.

Biblia inatuambia wanafunzi wa Yesu walijazwa nguvu za Roho Mtakatifu Siku ya Pentekoste , lakini tuna fahamu walikuwa wanatembea na yesu kwa kipindi Cha miaka mitatu, kwa hiyo Yesu walikuwa naye Ila nguvu za Roho wake hazi kuwepo ndani yao

Tuta endelea Siku nyingine mshukuru Mungu

Comments